登入選單
返回Google圖書搜尋
註釋BERINDA ni hadithi yenye kisa cha kweli ambacho kilimpata msichana aitwaye Berinda. Berinda anakumbana na masahibu mbalimbali ya kimapenzi. Je ni masahibu gani? Berinda anafanya nini kukabiliana na masahibu hayo?